Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, August 23, 2013

KKKT DAYOSISI YA IRINGA KUPITIA JIMBO LA KASKAZINI (KIHESA) LAPOKEA WAGENI WACHUNGAJI TOKA DAYOSISI YA MOROGORO JIMBO LA MOROGORO

KARIBUNI SANA NI MANENO YA MKUU WA JIMBO MCHUNGAJI DONALD KIWANGA HAYUPO PICHANI  NA NAYETABASAMU NI MCHUNGAJI TENGENEZA  HUKU MKUU WA JIMBO LA MOROGORO MCHUNGAJI NAKELE AKIWA TAYARI KATIKA ARDHI YA JIMBO LA KASKAZINI


    HAPA NI KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA JIMBO MWENYEJI

    MKUU WA JIMBO MCHUNGAJI DONALD KIWANGA AKIWAKARIBISHA WAGENI


     MCHUNGAJI TENGENEZA AKISHUKURU KWA MAPOKEZI MAZURI

     BAADHI YA WASHARIKA WALIOSHIRIKI MAPOKEZI YA WAGENI

     MKUU WA JIMBO LA MOROGORO MCHUNGAJI  REGINALD NAKULE AKIWATAMBULISHA WACHUNGAJI
   
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment