Writen by
sadataley
12 years ago
-
0
Comments
HIVI KARIBUNI KATIBU WA IDARA YA THEOLOGIA NA ENEZI AKIWA NA MRATIBU WA IDARA YA HABARI NA MAWASILIANO WALITEMBELEA VITUO VYA ETE KATIKA MAJIMBO YOTE YA DAYOSISI YA IRINGA.
JIMBO LA KASKAZINI KITUO KIPO LUGOLOLA ISIMANI
JIMBO LA MAGHARIBI KITUO KIPO USHARIKA WA KIDAMALI
JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI KITUO KIPO USHARIKA WA IHEMI
JIMBO LA KUSINI KITUO KIPO USHARIKA WA POMERINI
SASA NI SAFARI YA IDETE
JIMBO LA KUSINI MASHARIKI KITUO KIPO USHARIKA WA IDETE
JIMBO LA MASHARIKI KITUO KIPO USHARIKA WA IPALAMWA
No comments
Post a Comment