Writen by
sadataley
9:34 PM
-
0
Comments
Karibuni RedioniMeneja Vipindi wa Radio Furaha Bi. Tukukuswiga Mwaisumbi akiwaelekeza Wageni namna redio Inavyofanya kazi
Mtangazaji wa Radio Furaha Leila Kazimoto akiwa katika kazi
Nisafari ya kuelekea Chuo Kikuu Iringa
Hapa Susane Kuester akiwa na Afisa Utawala wa Chuo Kikuu Iringa
Afisa Habari na Mawasiliano wa Chuo Kikuu Iringa Bi. Agnes Kitundu akiwa na wageni
Wenzi wa Wachungaji wakiwasiliza wageni toka Leipzig
Mtheologia Jiskaka Lwila akijitambulisha mbele ya wenzi wa Wachungaji hawapo pichani
Mama Waltraud Grabowski huyu alifanya kazi kwa kujitolea miaka ya 1969 huko Kibosho Tanzania
No comments
Post a Comment