Writen by
sadataley
10:21 AM
-
0
Comments
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mke wake Mama Salama Kikwete wakizungumza na Rais Mstaafu wa Marekani George Bush wakati wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika Mashariki jana kwa ufadhili wa Taasisi ya George Bush
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani George Bush wakati wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika Mashariki jana
Mke wake Mama Salama Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Marekani George Bush wakati wa ufunguzi wa kikao cha wake wa Marais wa Afrika Mashariki katika hotel ya Serena jijini Dar es Saalam jana
No comments
Post a Comment