Writen by
sadataley
7:53 AM
-
0
Comments
NI MCHUNGAJI EZEKILE OLE SASINE AMBAYE KWA SASA NI MWANAFUNZI KATIKA CHUO KIKUU CHA IRINGA(ZAMANI KILIJULIKANA KAMA CHUO KIKUU CHA TUMAINI IRINGA. HARUSI HIYO IMEFANYIKA HUKU KKKT DAYOSISI YA KUSINI JIMBO LA CHIMALA USHARIKA WA MBALALI MTAA WA MWANAVALA
MCHUNGAJI EZEKIEL OLE SASINE TAYARI KWA IBADAMRATIBU WA UINJILISTI KWA WAFUGAJI
MAMBO YA KUDUMISHA MILA SASA
KANISA LA MTAA WA MANAVALA
BAADHI YA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAKISUBIRI IBADA KUANZA
MCHUNGAJI YORAM LEMAMA MJOMBA WA BIBI HARUSI
MMILIKI WA BLOG HII AKIWA NA MTOTO AITWAYE SUMAI SENDEU
HAPA TUKIWA KATIKA MTI AMBAPO KANISA LILIANZIA
HAYA TWENDE KANISANI
MAKAMU MKUU WA JIMBO LA CHIMALA MCHG. BONIFASI LUSULO AKIKARIBISHA WATU KATIKA IBADA
HAYA LETENI PETEMCHUNGAJI LUFYAGILA AKITOA SALAM ZA JIMBO LA KASKAZINI DAYOSISI YA IRINGA
MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AKITOA SALAM ZA KKKT DAYOSISI YA IRINGA
WAZAZI WA MCHUNGAJI EZEKIEL OLE SASINEWAZAZI WA BIBI HARUSI BI ADIA
HAYA TUPO KATIKA UKUMBI MAALUM KABISA
NAAM NI BWANA NA BIBI EZEKIEL OLE SASAINE
MAMA MCHUNGAJI EZEKILE SASA
MCHUNGAJI EZEKILE KATIKA TAFAKARI
MTHEOLOGIA PETRO AMBAYE NI MSIMAMIZI
MAMA PETRO NAYE HAPA
MAMA MZAZI WA MCHUNGAJI EZEKIEL OLE SASINE
HAYA NI WAKATI WA CHAKULA SASA
No comments
Post a Comment