Writen by
sadataley
11:38 AM
-
0
Comments
NI TAARIFA ZA UTENDAJI KAZI NA UTEKELEZAJI KWA MUDA WA MIEZI MITATU (APRILI-JUNE 2013).
Bi rehema Ugulumo akisoma taarifa ya Ofisi Kuu
Mwenyekiti Mama Ana msola akiwa na Katibu wake Mchungaji Imelda Kisava wakiwa katika wajibu wao
Mchungaji Israel Kiponda akiwa katika kikao
Mkuu wa Jimbo la Kusini (Pomerini) Mchg. Himid Sagga akiuliza swali
Katibu Mkuu wa Dayosisi Bw. Nayman Chavalla
Katibu Mkuu wa Dayosisi Bw. Nayman Chavalla akifurahia jambo
Mwenye tai ni Mchungaji Abel Musa Mwachamanga Mtanga Kasisi wa Ofisi Kuu
Hapa wajumbe wakimsikiliza Katibu wa Hospitali ya Ilula
Katibu wa Hospitali ya Ilula Bw. Alam Kikoti akiwasilisha taarifa ya Afya
Katibu wa Idara ya Afya Dkt. Mufwimi Sagga akichangia jambo
No comments
Post a Comment