Writen by
sadataley
10:30 AM
-
0
Comments
Katibu Mkuu Bw. Nayman Chavalla akiwakaribisha wageni toka Leipzig
Katibu Muhtasi wa Katibu Mkuu wa Leipzig Tanzania akitambulisha wageni aliofuatana nao
Ahsanteni sana kwa ukaribisho wenu Mungu awabariki
Katibu Mkuu akiwapa mkono kama ishara ya kuwakaribisha
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu na misaada yenu
Watumishi wa Dayosisi wakiwa na wageni katika Ibada ya asubuhi ya leo hii
Mtheologia Gisikaka Lwila akijitambulisha
Katibu Mkuu akiwa mbele kabisa akiwapa wageni taarifa ya Dayosisi kwa ufupi
No comments
Post a Comment