Writen by
sadataley
8:53 AM
-
0
Comments
MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AWAPOKEA WAGENI HAO TOKA DENIMAKIMsaidizi wa Askofu Mchungaji Blastone Gavile akiwakaribisha wageni
Bw. Henrick Jensen kabla ya kusaini Kitabu cha Wageni
Bw. Henrick Jensen akisaini kitabu cha wageni
Karibuni sana
Huyu ni Henrick Jensen aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa DLM Duniani
Bw. Henrick Jensen akimtazama Mchungaji Benitho Madembo mara baada ya kutambulishwa na Msaidizi wa Askofu
Mama Henrick Jensen ambaye ni Afisa Habari wa DLMBw. Henrick akitafakari jambo
Haya natusaini kitabu cha wageni
Huyu ni Samwel Muck akimuangalia Mama Henrick Jensen akiwa nasaini kitabu cha wageni
Afisa Mauzo wa Soma Biblia Tanzania
Mmoja wa watumishi katika Soma Biblia Tanzania
Tunashukuru sana kwa ukaribisho wenu
No comments
Post a Comment