Writen by
sadataley
1:06 PM
-
0
Comments
Mchungaji Imelda Kisava Katibu wa Idara ya Wanawake na Malezi ya Famaili akiwa na Mchungaji Elisande Muhanga ambaye ni Afisa Mafunzo
Wema Kisawike akipokea cheti kutoka kwa Afisa MafunzoTusamehe Mgohamwende akipokea cheti
Baadhi ya watumishi wakifurahi jambo kwa pamoja katika hafla hiyo
Furaha Mhoka akitoa neno la Shukrani
Mchungaji Imelda Kisava akimshukuru mwanafuzi aliyetoa neno la shukrani
Wanafunzi wakiimba wimbo wa pamoja "Bwana uliyewaita watakatifu wote namba 74"
Mchungaji Joyce Ngweta akitoa neno la shukrani na pongezi kwa wanafunzi
Katibu Mkuu Bw.Nayman Chavalla akiwapongeza wahitimu
Wahitimu wakisikiliza nasaha toka kwa Katibu Mkuu wa Dayosisi
Mwalimu Jane Cholobi ndiye aliyekuwa mwalimu wa wahimu hao
No comments
Post a Comment