Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, April 12, 2018

RAIS DK. MAGUFULI AZINDUA TAASISI YA JAKAYA MRISHO KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, jana

 Rais Dk. John Magufuli akijadiliana  jambo na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete baada ya Rais kuizindua taasisi hiyo jana
 Rais  Dk. John  Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Nchi kabla ya kuzindua rasmi Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JMKF) Ikulu jijini Dar es Salaam
 Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kabla ya uzinduzi wa Taasisi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Dk. John Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete (JKMF) Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Kikwete baada ya kuizindua rasmi Taasisi hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment