Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, April 5, 2018

MICHEZO Liverpool wameiomba msamaha Man City

Club ya Liverpool imelazimika kuiomba radhi club ya Man City kufuatia tukio la mashabiki wake kuamua kulishambulia basi la wachezaji wa Man City kwa kurushia chupa za maji wakati walipokuwa nje ya uwanja wa Anfield.
Liverpool walikuwa wenyeji wa Man City katika uwanja wa Anfield katika mchezo wa kwanza wa Club Bingwa Ulaya uliyomalizika kwa Liverpool kupata ushindi wa magoli 3-0, hivyo kitendo cha mashabiki kurushia chupa basi la Man City kimepingwa vikali.
Mashabiki wa Liverpool ambao walikuwa nje ya barabara za Anfield walianza kurusha miale ya moto na baadae ndipo walipoanza kurusha chupa za maji, kocha wa LiverpoolJurgen Klopp ameomba radhi pia.
“Kiukweli sielewi tulijaribu kwa kila namna kuzuia hiyo hali iliyojitokeza lakini kwa niaba ya Liverpool nalazimika kuomba radhi”>>>Klopp
Millardayo
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment