Writen by
sadataley
1:53 PM
-
0
Comments
NI WAKE ZA MARAIS HAO BI MICHELL OBAMA NA LAURA BUSH
RAIS BARACK OBAMA AKIWA NA RAIS MSTAAFU GEORGE BUSH
HAPA WAKITOA HESHIMA KATIKA KABURI MAALUM LA WAHANGA WA MLIPUKO WA SEPTEMBA 11
HAPA WAKISALIMU FAMILIA ZA WAHANGA WA MLIPUKO HUO
PICHANI AKITUMIA MPIRA MAALUM KUZINDUA RASMI KITUO CHA UMEME CHA UBUNGO
Rais wa Marekani Barack Obama ameweka mauwa kwenye makaburi ya waathiriwa wa mashambulizi ya mabomu dhidi ya ubalozi wa Marekani nchini Tanzania mwaka 1998, kama ishara ya kuwakumbuka.
Raia 11 wamarekani waliuawa katika shambulizi hilo lililofanywa na kundi la kigaidi la al-Qaeda ambaklo lilifanyika wakati mmoja na shambulizi lililofanywa dhidi ya ubalozi wa Marekani mjini Nairobi, Kenya.
Obama aliuungana na rais mstaafu wa Marekani George W Bush kwa kumbukumbu hizo
Aidha Obama pia amtembelea kituo cha kuzalisha umeme kinachomilikiwa na Marekani nchini humo, kufuatia tangazo lake mwishoni mwa wiki la mradi wa umeme utakaogharimu mabilioni ya dola.
Aidha Obama pia amtembelea kituo cha kuzalisha umeme kinachomilikiwa na Marekani nchini humo, kufuatia tangazo lake mwishoni mwa wiki la mradi wa umeme utakaogharimu mabilioni ya dola.
Mradi huo wa miaka mitano, unatarajiwa kusaidia kuongeza kasi ya uzalishaji wa umeme kusini mwa jangwa la Sahara,kwa ushirikiano na mataifa ya kiafrika pamoja na sekta binafsi.
Pia amezindua mpango unaonuia kusaidia nchi za Afrika Mashariki ikiwemo, Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda kushirikiana kibiashara.
.
No comments
Post a Comment