Writen by
sadataley
9:42 AM
-
0
Comments
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Mh. Pindi Chana akiwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mh. Wiliam Ngereja wakiendesha kikao tayari kuanza kupokea maoni toka kwa wadau mbalimbali. Kikao hicho kilifanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dar es Saalam

Wadau mbalimbali toka Taasisi zisizo za Kiserikali wakiwa katika kikao hicho
Wadau mbalimbali toka Taasisi zisizo za Kiserikali wakiwa katika kikao hicho
No comments
Post a Comment