Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Sunday, December 8, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA ZANZIBAR, LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua kitambaa kuzindua mradi wa maji safi na salama katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo jioni ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Bomba kuashiria kuzindua mradi wa maji safi na salama katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar leo, ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment