Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Saturday, August 3, 2013

BAROZI WA VIETNAM NCHINI AMALIZA MUDA WAKE

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh. Angela Kairuki akiwa katikati mstari wa mbele kabisa akiongozana na Barozi  wa Vietnam aliyemaliza muda wake wa kazi  nchini Barozi  Nguyen Duy Thien  kulia

Barozi  Nguyen Duy Thien akiwa na mkewe katkati hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Ofisi ya Ubarozi wa Vietnam hapa nchini.

Na hapa ni Naibu Waziri Mh. Angela Kairuki akiwakabidhi zawadi ya picha ya Mji Mkongwe wa Zanzibar kama kumbukumbu yao ya kuwepo hapa Tanzania.
Jiunge na Blog ya Issa Michuzi
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment