Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesema ataachia ngazi iwapo atashindwa kwenye uchaguzi siku ya Jumatano.

Mgombea wa Uraisi nchini Zimbabwe Mh. Mugabe
Bwana Mugabe ambaye amekuwepo madarakani tangu miaka ya themanini, ana matumaini ya kumshinda mpinzani wake mkuu, Morgan Tsvangirai wa MDC. Chama cha Bwana Mugabe, Zanu-PF, kimeshutumiwa kwa kuvurga orodha ya wapiga kura ambayo itasababisha kuutia hila uchaguzi.
Imewekwa na Happy Adam
No comments:
Post a Comment