BIASHARA ya kusafirisha dawa za kulevya imeanza kutia doa taswira ya Watanzania kimataifa. Hali hiyo inathibitishwa na kwamba katika baadhi ya nchi, kila Mtanzania anayeingia, hivi sasa anachukuliwa kama mshukiwa wa moja kwa moja wa dawa hizo. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mkumbwa Ally, alisema jana kuwa Watanzania waliokamatwa wakifanya biashara hiyo, wametia doa taswira ya nchi. ...
Kwa habari zaidi http://www.magazetini.com/news/dawa-za-kulevya-zalichafua-taifa
No comments:
Post a Comment