Saturday, July 27, 2013

Wahitimu vyuo vikuu kukopeshwa miradi

WASOMI watakaohitimu vyuo vya elimu ya juu nchini kuanzia mwaka huu watakopeshwa mabilioni ya fedha ili waanzishe miradi itakayowawezesha kujiajiri. Hatua hiyo ni matokeo ya Programu ya Wizara ya Kazi na Ajira inayolenga kukuza ajira kwa vijana wahitimu wa vyuo hivyo, kwa kushirikiana na vya elimu ya juu, taasisi za fedha na wabia wa maendeleo.
Kwa habari zaidi ingia www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/14588-wahitimu-vyuo-vikuu-kukopeshwa-miradi

No comments:

Post a Comment