Saturday, July 27, 2013

SEMINA YA WENZI WA WACHUNGAJI YAENDELEA NI SEHEMU YA PILI YA SOMO LA NDOA YA KIKRISTO

Mchungaji Anthony Kipangula akiendelea kufundisha somo la Ndoa ya Kikristo


                            Mama Mchungaji Askali Mgeyekwa akiwa na Mama Mwaigwisya

Mchungaji Kipangula akitoa hitimisho la somo lake
 WAKATI WA CHAKULA SASA

     Akina mama wakipata chakula cha mchana
     Mama Mchungaji Mwagogo akiwa na Mama Mchungaji Majele


    Mama Mchungaji Patson Lubava akiwa na binti yake



    Mama Mchungaji Mgeyekwa akiwa na Mama Mchungaji Wilbert Kidibule
 HAYA TUCHUKUWE VITABU


     Vitabu maalum kwa ajili ya wenzi wa Wachungaji

     Mama Mchungaji Dkt. Farles Ilomo akiwa na Mama Mchungaji Anthony Kipangula
     Hapa sasa ni Mchungaji Ester Mbuma na Mchunga Mnema

No comments:

Post a Comment