Monday, July 15, 2013

TUWE WAKARIMU KAMA MSAMARIA MWEMA

Papa Francis asema kwa umakini kwamba twatakiwa kuwa wakarimu kama yule mwanamke Msamaria
Pope Francis delivers the Angelus address at Castel Gandolfo (AP)
                                            Papa alipokuwa akihutubia mahujaji  huko Castelgondolfo
"Mungu anataka tuwe wakarimu na wenye huruma, na kamwe hakuna mtu  mkamilifu na wa kuweza kutoa hukumu kwa wengine" alisema  Papa Francis.
Mungu  ayajua yale tuwazayo, "huzuni zetu, matatizo yetu, hata dhambi zetu, na yeye anatuita sisi  sote kwa moyo wa huruma", ili tuweze kuwa na uwezo wa kuwa wenye upendo na huruma kwa wengine, aliwaambia mahujaji  waliokusanyika  huko Castelgondolfo.

Imewekwa na Happy Adam

No comments:

Post a Comment