Monday, July 15, 2013

KUFUNGUA MILANGO KWA MATUMAINI.

Ni baada ya Papa Francis kutembelea katika maeneo ya juu ya kilima cha Castelgandolfo
                      
                                   Hapo ni Papa Francis alipokuwa Castelgandolfo
Ni baada ya Papa Francis kutembelea katika maeneo hayo ya juu ya kilima cha  Castelgandolfo, pia Papa  Francis alianza na salamu katikati ya kusanyiko hilo kubwa la watu walioudhuria akiwataka wenyeji na wageni waliokuwa wamekusanyika katika maeneo hayo kuona kuwa kuna ishara kubwa ya matumaini na amani duniani.

No comments:

Post a Comment