Friday, July 26, 2013

KKKT DAYOSISI YA IRINGA YENDELEA NA UTARATIBU WAKE WA KUKAA VIKAO VYA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI KWA MUDA WA MIEZI MITATU(3). NI TAARIFA ZA UTENDAJI KAZI NA UTEKELEZAJI KWA MUDA WA MIEZI MITATU (MAI-JULAI 2013).

                                        SASA NI TAARIFA ZA MAKUNDI 

     Kundi la Ofisi Kuu na sasa ni Mchungaji Imelda Kisava akiwasilisha
ni kundi lilojumuisha Ofisi Kuu, Idara na Majimbo
                                          Mwalimu Kiungo akichangia
     Wakuu wa Majimbo wakisiliza kwa makini
Wajumbe wakisikiliza kwa umakini







No comments:

Post a Comment