Friday, July 26, 2013

KKKT DAYOSISI YA IRINGA YENDELEA NA UTARATIBU WAKE WA KUKAA VIKAO VYA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI KWA MUDA WA MIEZI MITATU(3).

NI TAARIFA ZA UTENDAJI KAZI NA UTEKELEZAJI KWA MUDA WA MIEZI MITATU (APRILI-JUNE 2013).
Bi rehema Ugulumo akisoma taarifa ya Ofisi Kuu

    Mwenyekiti  Mama Ana msola akiwa na Katibu wake Mchungaji Imelda Kisava  wakiwa katika wajibu wao
     Mchungaji Israel Kiponda akiwa katika kikao

     Mkuu wa Jimbo la Kusini (Pomerini) Mchg. Himid Sagga akiuliza swali

                                 Katibu Mkuu wa Dayosisi Bw. Nayman Chavalla

                   Katibu Mkuu wa Dayosisi Bw. Nayman Chavalla akifurahia jambo

       Mwenye tai ni Mchungaji Abel Musa Mwachamanga Mtanga Kasisi wa Ofisi Kuu




                            Hapa wajumbe wakimsikiliza Katibu wa Hospitali ya Ilula
                 Katibu wa Hospitali ya Ilula Bw. Alam Kikoti akiwasilisha taarifa ya Afya
Katibu wa Idara ya Afya Dkt. Mufwimi Sagga akichangia jambo

No comments:

Post a Comment