Wednesday, August 2, 2017

Huu ndio uzi mpya wa Simba SC

Jezi mpya ambazo zitavaliwa na Simba msimu ujao, zimekamilika.

Tayari mashabiki wataanza kuzipata mtaani ili kuhudhuria nazo katika Tamasha la Simba Day.

No comments:

Post a Comment