Wednesday, July 26, 2017

Polisi wawasaka Waharifu Nyumba kwa Nyumba Dar


Jeshi la Polisi Temeke  jijini Dar es Salaam  limeanzisha msako wa wahalifu nyumba kwa nyumba katika Mitaa Mbalimbali ya Temeke

Jeshi hilo likishirikiana na Kamati za Ulinzi za Serikali za Mitaa limeanza kutekeleza Operesheni hiyo ili kumaliza uhalifu.

No comments:

Post a Comment