Saturday, July 29, 2017

Bodaboda waandamana Kuumunga Mkono Rais JPM


Waendesha Pikipiki Maarufu madereva Bodaboda Wilaya ya Ilala Dar es Salaam wamefanya Maandamano ya amani ya kumuunga na kupongoza Juhudi za Rais John Magufuli

waandamanaji hao waliopokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema kwenye viwanja vya manazi mmoja.

No comments:

Post a Comment