Saturday, May 13, 2017

Marekani yakubali kuwauzia Waarabu silaha zake


Marekani yakubali kuuzia Muungano wa Kiarabu silaha za thamani ya dola bilioni 2.

Idara ya Ulinzi na ushirikiano ya Marekani imethibitisha kuwa serikali ya Muungano wa Kiarabu imethibitisha kwa idara ya Ulinzi kuhusu uuzaji huo wa sialaha kwake .

Taarifa hiyo ilisisitiza kuwa silaha hizo zitauzwa kwa nchi za ghuba ili kuhakikisha usalama dhidi ya vitisho vya makombora .

No comments:

Post a Comment