Saturday, April 15, 2017

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM



Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Ndugu Amina Makillagi (kulia), Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo (kushoto) pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 14, 2017. PICHA NA IKULU 

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiongea

No comments:

Post a Comment