Rais Magufuli afanya mazungumzo na Kamishina wa AU
Rais Dk John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishina wa amani na usalama wa kamisheni ya Umoja wa Afrika, Balozi Smail Chergui ambaye amewasilisha ujumbe wa Mwenyekiti wa Kamisheni hiyo Moussa Faki
No comments:
Post a Comment