Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na knasela wa Ujerumani Bi Angela Merkel kuhusu masula tofauti ya kikanda.
Katika mazungumzo yao viongozi hao wamezungumza pia kuhusu ushirikiano baina ya Uturuki na Ujerumani. Vile vile wamezungumzia kuhusu mzozo wa Syria na kuafikiana kuwa ardhi ya Syria ni huru.
Viongozi hao waliendelea wakizungumza kuhusu mashambulizi ya anga yaliendeshwa na Marekani kwa ushirikiano na Uingereza na Ufaransa Syria.

No comments:
Post a Comment