Hakika ilipendeza na maharusi pia walipendeza sana. Ndugu jamaa na marafiki kutoka jijini Dar es salaam na sehemu nyingine mikoani walijumuika katika kuwapongeza maharusi hao.
Nasi GK tunawapongeza maharusi hawa na kuwatakia heri na baraka na
ulinzi wa Mungu uwe juu yao na wakaishi maisha marefu yenye mfano wa
kuigwa na watu wote. Mbarikiwe
| Mchungaji Huruma Nkone wa VCCT akiwafungisha ndoa maharusi. |
| Wakisikiliza kwa makini. |
| Mchungaji Nkone akisisitiza jambo. |
| Furaha ya kipekee |
| Akianguka ushahidi mwanawane, wote wakishuhudia. kwa habari zaidi ingiahttp://www.gospelkitaa.co.tz/ |
No comments:
Post a Comment