Saturday, May 24, 2014

Mjadala wa kujenga au kuto jengwa kwa stand ya mabasi Igumbiro Iringa

Mjadala wa kujenga au kuto jengwa kwa stand ya mabasi igumbiro ,umekwisha, STAND HAITAJENGWA ,INATAKIWA TUTAFUTE MAHALA PENGINE., Hii ndio habari ya MJINI Iringa. Hongera wizara ya maji, mazingira na tamisemi.
Unlike · ·
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Habari na Mchungaji Msigwa kupitia facebook
 

No comments:

Post a Comment