Wednesday, May 7, 2014

ALIYEKUWA MGOMBEA WA KITI CHA UDIWANI KATA YA KITANZINI BW. KALOLO AFARIKI DUNIA

Tumempoteza mpendwa wetu Kalolo kada wa chama ,mazishi alhamisi , nawaomba wanachama wachadema Iringa MJINI tujitokeze kwa wingi kumsindikiza kamanda. R.I.P KALOLO .
HAPA NILIKUWA NAMNADI WAKATI WA KAMPENI MIOMBONI/kitanzini.








Habari kwa hisani ya Mh. Peter Msigwa kupitia Mtandao wa  Facebook

No comments:

Post a Comment