Saturday, April 5, 2014

MPISHI WA ZAMANI WA CHUO KIKUU CHA IRINGA( ZAMANI TUMAINI UNIVERSITY IRNGA)

                     MZEE GALINOMA AFARIKI NA AMEZIKWA LEO HII MKOANI IRINGA
Wale wanaomfahamu Dada Ruth ambaye wamefanya kazi pamoja na marehemu toka siku nyingi anaweza kuwa connection yetu nzuri, namba yake ni  0754367069. Tunaweza kuwasiliana nae kwa namba hii

Habari kwa hisani ya Lupiana Kilimuhana to Uholanzi

No comments:

Post a Comment