Saturday, February 1, 2014

Serikali ilipuuza ushauri wa Spika


 “…Kimsingi kuna administrative issues (masuala ya kiutawala) nyingi ambazo kama sheria ikibaki ilivyo, hata Bunge la Katiba haliwezi, siyo tu kufanya kazi, bali hata kuitishwa. Kwa vile mapendekezo yaliyotoka kwenye ofisi yangu mengi hayakuzingatiwa, tunasubiri Serikali kuona itafanya nini maana ule muswada ulishasainiwa na Rais kuwa sheria sasa wanaleta marekebisho kwa hati ya dharura maana ni jambo la masilahi kwa nchi.” Anne Makinda  
Kwahabari zaidihttp://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Serikali-ilipuuza-ushauri-wa-Spika/-/1597296/2168872/-/g4aaxvz/-/index.html

No comments:

Post a Comment