Sunday, February 2, 2014

MWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 37 ZA CCM LEO MJINI MBEYA





Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kuwaongoza wana-CCM katika kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya CCM leo                                                                        








Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wananchi waliofurika katika Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya alipoingia Uwanjani huku akiwa na Mwenyekiji wake, Katibu Mkuu wa CCM, Abdurlahman Kinana

 










Hii ndiyo CCM, Rais Jakaya Kikwete akisema, huku akionyesha alama ya CCM ya jembe na nyundo ambayo aliichukua kwa mmoja wa mashabiki wa CCM walioingia nayo Uwanjani.

No comments:

Post a Comment