Mwanzilishi wa Kitengo cha Mawasiliano na Taarifa ( Information Ministry) wa Kanisa la Ufufuo na Uzima aoa.
Ni Mchungaji Fredrick Fussi na mkewe Catherine katika harusi iliyofungwa kanisa la Ufufuo na Uzima Kawe jijini Dar es salaam ambako maharusi ndiko wanakoabudu huku Fredrick akiwa ndio mwanzilishi wa kitengo cha mawasiliano na taarifa ama Information Ministry ya Kanisa hilo. Sherehe kubwa ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika ukumbi wa Flamingo uliopo Mbezi beach na kuhudhuriwa na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki
Maombi kwa maharusi yakiongozwa na mchungaji Gwajima
No comments:
Post a Comment