MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO
CHUO kikuu cha Southern Highlands University College tawi la chuo kikuu cha Tumaini Makumira(KKKT) kimeanzishwa mkoani Mbeya kipo eneo la Uyole.
Kuanzishwa kwa chuo kikuu hicho tayari kumeongeza idadi ya vyuo vikuu mkoani Mbeya ikiwa ni pamoja na chuo kikuu cha Teofilo kisanji, Moshi, Chuo kikuu huria, Tumaini(Iringa University sasa)na Tawi la Mzumbe.
No comments:
Post a Comment