Sunday, February 9, 2014

GEOFREY MGIMWA ASHINDA NI MATOKEO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA KALENGA YAVUJA , MTOTO WA MGIMWA ASHINDA


GEOFREY MGIMWA
TAARIFA za uhakika  kutoka ukumbi wa mkutano huu wa kura za maoni ukumbi wa shule ya  sekondari Mwembetogwa zinadai  kuwa matokeo ya kura za maoni katika uchaguzi huo ulioshirikisha  wagombea 9 yamevuja baada ya  kujulikana  mapema  zaidi kabla ya wapiga kura  kutangaziwa matokeo hayo na kuwa mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo  hilo Bw Godfrey Mgimwa ndie aliyeshinda katika kinyang'anyoro  hicho akifuatiwa na Jackson Kiswaga.

www.eddymoblaze.blogspot.com

No comments:

Post a Comment