Thursday, February 20, 2014

EU yashindwa na hali Ukraine

Ujumbe wa Mawaziri wa Kigeni wa mataifa ya Umoja wa Ulaya umeondoka mjini Kiev kwa Dharura kutokana na hatari kwa usalama wao.
Wajumbe wa Ulaya wanajaribu kutafuta suluhu kwa mgogoro wa kisiasa Ukraine
Ujumbe huo umeondoka bila ya kukutana na maafisa wakuu wa serikali ya Ukraine .
Takriban watu watano zaidi wameripotiwa kufariki katika mapigano yaliyozuka upya leo asubuhi .

No comments:

Post a Comment