“Bwana Uliyewaita Watakatifu wako”
o
Mungu
huwaheshimu wale wote wanaomtumikia, cheo na utajiri havina maana kama huna
Mungu.
o
Mtu
aliyekubali kumfuata na kumtumikia Yesu
ataheshimiwa na Mungu.
o
Haiwezekani
kama ukakubali kutumika na usipatane na Yesu(Ni lazima ubebe habari za Yesu).
o
Ni
lazima kutembea pamoja Amosi 3:3
o
Tunapaswa
kubeba habari za Yesu.
o
Changamoto
ndani ya Kanisa leo hii, mfumuko wa manabii katika Kanisa . Kibiblia Nabii
hajengi Kanisa leo wanajenga Makanisa
Nabii
anasema ndoto za Mungu lakini leo wanasema maneno yao
o
Ili
tuheshimiwe ni lazima tubebe heshima ya Mungu.
o
Msitafute
heshima kwa kulazimisha,wengine leo hii wanatumia mafuta ya mizeituni,kutumia
maji, chumvi
o
Tumtumikie
Mungu, tukimtumikia naye atatuheshimu.
o
Mungu
amesema “Lisha Kondoo Zangu” na kuchunga pia
MSAIDIZI WA ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA IRINGA MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AKIWAKARIBISHA WAJUMBE LEO HII HAPA CHUONI ILAMBILOLE
MRATIBU MSAIDIZI WA MUWA MMISIONARI MCHUNGAJI SAMWEL MUCK AKISALIMU WAJUMBE
MRATIBU WA MUWA MCHUNGAJI PAUL KURUASHI AKISOMA TAARIFA KWA WAJUMBE WA BODI
AFISA UTUMISHI WA K.K.K.T DAYOSISI YA IRINGA MCHUNGAJI YUSTO KINYOA AKIFUATILIA KIKAO CHA BODI LEO HII HAPA ILAMBILOLE
WAMISIONARI TOKA DENNMARK WAKIWA NA MSAIDIZI WA SKOFU WA MOROGORO MCHUNGAJI GEORGE PINDUA
DEAN BLASTONE GAVILE AKIFURAHIA MOJA YA HOJA ZILIZOTOLEWA
BAADHI YA WAJUMBE WA BODI NA HAPA NI MCHUNGAJI OSWALD NDELWA, MMILIKI WA BLOG HII MCHUNGAJI KURWA SADATALEY NA MCHUNGAJI BENITHO MADEMBO
WAMISIONARI WAKIFUATILIA AGENDA ZA BODI HII LEO
MMOJA WA WAJUMBE AKICHANGIA HOJA
No comments:
Post a Comment