Baraza la Umoja wa Makanisa (WCC) lafanya mazumngumzo ya ushirikiano na wawakilishi wa Kanisa Katoliki. Katika mazungumzo hayo wamekubaliana kuwa na mikutano ya mara kwa mara kila mwaka kati ya wafanyakazi wa Vatican na la Umoja wa Makanisa Duniani (WCC).
Baadhi ya wajumbe wa Baraza
la Umoja wa Makanisa (WCC) na Wawakilishiwa Kanisa Katoliki Duniani.
No comments:
Post a Comment