Thursday, January 9, 2014

Selian yaanzisha mafunzo ya madaktari bingwa

ACC Header
HOSPITALI ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (ALMC), maarufu kama Selian, imezindua mafunzo ya miaka mitano kwa madaktari bingwa wa upasuaji. http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/20661-selian-yaanzisha-mafunzo-ya-madaktari-bingwa

No comments:

Post a Comment