Friday, January 10, 2014

RAIS KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA










Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo
















Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akisikiliza hotuba toka kwa Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC nchini Mhe Asumani Mpango ambaye pia ndiye Kiongozi wa Mabalozi nchini akihutubia wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party)  Ikulu jijini Dar es salaam leo
















Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wanawake wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo














Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo. 
Chanzo:- ccm blog

No comments:

Post a Comment