Sunday, December 22, 2013

O HOLY NIGHT BY MARIAH CAREY

Mariah Carey
Naam mdau wa GK ni msimu wa sikukuu ya Krismasi hapana shaka kwamba maandalizi ya sikukuu  kiroho pamoja na kimwili yanakwenda sambamba, basi ukiwa katika maandalizi hebu sikiliza wimbo huu maarufu uitwao O Holy Night uliotungwa mwaka 1847 na mfaransa Adolphe Adam. Leo angalia jinsi mwanadada Mariah Carey alivyouimba kwa ustadi mkubwa.

Kuwa na jumapili njema, na maandalizi mema ya siku kuu ya Krismasi.
Kuusikiliza wimbo huo ingia http://www.gospelkitaa.co.tz

No comments:

Post a Comment