Thursday, December 19, 2013

KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA.


      Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa  Bw. Emmanuel Mteming'ombe enzi za uhai wake

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu amesema Bw. Mteming'ombe amefariki katika Hospital ya Rufaa Mkoa wa Iringa alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Athma. 
Taratibu za mazishi zinaendelea na msiba upo nyumbani kwake Gangilonga.

No comments:

Post a Comment