Saturday, August 3, 2013

WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO WATILIANA SAINI IFY YA KOREA


Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michzo Bi Sihaba  Nkinga akibadilishana hati makubaliano na  Mwanzilishi wa Kikundi cha Vijana wa  Korea (IYF) Mchungaji  Mwamdamizi Ock Soo Park Jijini Dar es saalam.


Baahi ya Vijana toka International Youth Fellowshipi(ITY) toka Korea
Karibuni sana ni Maeno ya Waziri Mh. Dkt.Fenella Mukangara kwa wageni hao.
Jiunge na Blog ya Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment