Thursday, August 8, 2013

WARIOBA AVIONYA VYAMA VYA SIASA


MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, amekemea vyama vya siasa, kupenyeza maoni yao katika mabaraza ya Katiba huku vikikejeli wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Alisema hayo jana wakati akifunga mjadala wa siku mbili wa Rasimu ya Katiba, uliofanywa na Baraza la Katiba la Wabunge Wanawake mjini hapa. 

Kwa habari zaidi ingia http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/15026-warioba-avionya-vyama-vya-siasa

No comments:

Post a Comment