Sunday, August 4, 2013

TUNAOMBA MSAADA KUNUSURU MAISHA YA MTOTO HUYU

Anna Daffa mkazi wa Manundu Korogwe kati akiwa amemshikilia mtoto wake ambaye ni mlemavu wa miguu. Mama huyu anomba msaada  ili kunusuru maisha ya mtoto hyu. Unaweza wasiliana nae kwa namba  0657885348 
Tunawashukuru wote watakao guswa na tatizo hili 

Habari hii kwa hisani ya Kajunason blog

No comments:

Post a Comment