Thursday, August 22, 2013

TANZANIA-RWANDA: Maoni ya watanzania waishio nchini Rwanda kuhusu hatuwa ya serikali yao kuwafukuza Wanyarwanda waishio nchini Tanzania kinyume cha Sheria

Eneo la Rusomo mpakani mwa Rwanda na TanzaniaEneo la Rusomo mpakani mwa Rwanda na Tanzania
Muandishi wetu wa huko Kigali nchini Rwanda Bryson Bichwa amezungumza na baadhi ya raia wa Tanzania waishio nchini Rwanda, kutaka kujua maoni yao juu ya hatua ya serikali ya Tanzania na maisha yao kwa ujumla nchini Rwanda.

Kusikiliza ingia http://www.kiswahili.rfi.fr/aef_player_popup/rfi_player#
Chanzo:http://www.kiswahili.rfi.fr

No comments:

Post a Comment